Wajumbe wa kamati ya ushauri (DCC) ya wilaya ya HANDEN MKOANI TANGA wakiwa kwenye kikao cha kujadili changamoto na mafanikio ya wilaya hiyo pia kujipanga kwa mwanzo mwingine wa kuwahudumia wananchi kikao hicho kilikuwa chini ya uenyekiti wa mkuu wa wilaya Husna Msangi
No comments:
Post a Comment