Wednesday, March 7, 2012
MKURUGENZI MTENDAJI KARAGWE ASHUSHWA CHEO -UBADHILIFU
Na Deus J Gabone
Aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya Karagwe Consolata Kamuhabwa, ameshushwa cheo na kuhamishiwa Mkoani Arusha kwa tuhuma za ubadhilifu wa mamilioni ya shilingi za umma wilayani hapa.
Bi.Kamuhabwa na wenzake 8 walisimamishwa kazi tangu mwaka 2010 kwa kuiibia halmashau mamilioni ya fedha, huku aliyekuwa afisa alimu shule za msingi Batinoluho anakitarajiwa kupandhishwa kizimbani kwa kosa la kumdanganya mwajili kuwa ana shahada ya uzamili kumbe ndivyo sivyo
Mhandisi wa wilaya ya karagwe Luboya atafikishwa mahakamani kwa kuiibia halmashauli zaidi ya milion 46 za ujenzi wa barabara, wengine ni afisa tabibu kituo cha afya Nkwenda wilayani hapa kwa kuiba chakula cha wagonjwa chenye thamani ya shilingi laki moja
Wengine ni mwalim mkuu shule ya msingi kitengule, katibu wa bodi ya watumishi Nkarage mganga wa kituo cha Afya Murongo
Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabian Inyasi Masawe aliuambia ukurasa huu kuwa kwa kufanya hivyo serikali inalenga kujenga karagwe mpya itakayo leta matumaini kwa wananchi wa karagwe

No comments:
Post a Comment