OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA KARAGWE
Simu:
028-2227156
Fax: 028-2227140 Idara ya Elimu Sekondari
S.
L. P 79
KARAGWE
Kumb. Na. KGR/HWK/T.22/25/199 14/03/2012
KATIBU TAWALA (M),
IDARA YA ELIMU,
S. L. P 142,
KARAGWE
YAH: SHULE
ZILIZO KWENYE MAZINGIRA MAGUMU
Tafadhali husika na kichwa cha barua hapo juu.
Naomba kuwasilisha shule zilizoko kwenye
mazingira magumu kiasi cha walimu kushindwa kuishi na wakati mwingine kuwa
vigumu kupata nyumba za kupanga karibu na maeneo ya shule.
Shule hizo ni:
i)
Nyakasimbi
ii)
Murongo
iii)
Ihembe
iv)
Ibanda
v)
Rugu
Nawasilisha.
G. P. Rweyongeza
KAIMU AFISA ELIMU SEKONDARI
HALMASHAURI YA WILAYA
KARAGWE

No comments:
Post a Comment