Wanaharakati Waliochaguliwa kutuwakilisha
Ndugu watanzania,
Hivi karibuni baadhi ya mashirika ya wanaharakati walikutana jijini Dodoma na kuwachagua wafuatao kama wawakilishi wetu kwenye tume ya katiba, hawa ni;
1. Humphrey Polepole,
2. John Ulanga na
3. Prof. Ruth Meena,
Je, nini maoni yako?

No comments:
Post a Comment