Waziri wa nyumba na makazi Profesa Anna Tibaijuka na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Assumpta Msama walipotembelea shule ya Karagwe sekondari wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule hiyo.Jirani na shule hiyo inayomilikiwa na Dayosisi ya Karagwe kanisa la KKKT Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Karagwe kinajengwa maeneo hayo kitakuwa na michepuo ya kilimo.

No comments:
Post a Comment