Monday, December 21, 2015

ALIYEKUWA WAZIRI WA ELIMU AMEFARIKI DUNIA NA MAZISHI YAKE YANAFANYIKA KESHO TUNDUMA .

Aliyekuwa  waziri  wa  Elimu  katika  serikali  ya  wanafunzi  chuo  cha  maendeleo  ya  Jamii Buhare  kwa  Mwaka  2012/2013 BARAKA  KYOMO  amefariki  Dunia   na  anatarajiwa  kuzikwa  nyumbani  Kwao  Tunduma  wilaya  ya  Momba kesho  Desemba  21   mwaka  huu.Tutakuletea zaidi  updates  za  tukio  hilo.
Mwanga  wa  Milele  Umwangazie  bwana  na  apate  Pumziko  la  Amani AMINA.

No comments:

Post a Comment