Ni
ufisadi mwingine tena
waitikisa Bandari ya
Dar es salaam
makonteina 11884 yenye thamani
ya shilingi billion 47.4 yametoweka
katika bandari kavu
ya ICD na CFS
bila ya kulipiwa
tozo za Bandari
ya WHARTFAGE.
Na Magari
2019 yenye thamani
ya shilingi bilioni
moja zimetolewa katika
bandari ya nchi
kavu ya CFS bila kulipiwa tozo
ya Bndari .
Kutokana
na upotevu wa
mapato hayo waziri
wa ujenzi ,
uchukuzi na mawasiliano
Profesa Makame Mbarawa
amesema wafanyakazi 7
kati ya wafanyakazi
15 wa TPA
wanashikiliwa na jeshi
la polisi.
Makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.
Makontena hayo ni tofauti na yale ya Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa.

Hayo makontena hayakupotea bali hao wanajua yalipo na niyanani na pia wanajua namna ya kufuatilia hayo mapato ya serikali ya patikane. Huko serikali kwa utendaji kazi mzuri mnaouonyesha. Sisi wananchi tuko nyuma yenu. - HAPA KAZI TU.
ReplyDelete