Friday, January 15, 2016

ANAHITAJI MSAADA WA LAKI SABA(700,000) AKAPATE MATIBABU BUGANDO HOSPITAL JIJINI MWANZA.




Anaitwa  Antony  Eustace  Mkazi  wa  wilaya  ya  Karagwe  Mkoa  wa  Kagera  nchini  Tanzania  anasumbuliwa  na  tumbo  baada  ya  kufanyiwa   upasuaji  kwa  kuahamisha   sehemu  ya  haja  kubwa  kuiweka  pembeni  mwa  tumbo. 

Anaomba  msaada  wa   wa  shilingi 700,000(laki  saba) ili  apatiwe  matibabu  kwenye  hospitali  ya  Rufaa  ya  Bugando  iliyopo  Jijini  Mwanza  nchini  Tanzania. Mawasiliano  yake  ni  0743 022789  AU 0789627789

KUMRADHI  KWA  PICHA  HIZO.

No comments:

Post a Comment