Sunday, January 3, 2016

DAWA YA MNYAUKO WA MIGOMBA YAPATIWA UFUMBUZI HAKUNA TATIZO TENA TEMBELEA HAPA KUJUA



 Sehemu  ya  Migomba  ambayo  imeanza  kuzalishwa  katika  kituo  cha  Nyakasimbi  Maarifa  Center  ambao  ni mradi  wa  kuzalisha  migomba  kwa  njia  ya  Kisayansi  na  migomba  hii  haishambuliwi  na  ugonjwa  wa  Mnyauko  wa  Migomba  ambao  ni  Tishio  mkoani  Kagera


1 comment:

  1. Wapendwa ugonjwa wa mnyauko hauzuiliki ivyo, mnyauko ni ugonjwa wa udongo, ambapo migomba huupata kupitia mizizi pia unaweza enezwa kwa upepo from one to another , pamoja na hayo mimi ni scientist special in plants and animals & natural resources nipo nafanya utafiti kutafuta dawa ya mnyauko, ninapima sample zangu kwenye maabara za TAFORI tawi la tanga RUSHOTO hivyo kama ni miche mizuri ya migomba wauzie wananchi ila kama kama ipo prevented from mnyauko tueleze ni kivipi haizuiliki na mnyauko huo,

    ReplyDelete