Kwa mawasiliano zaidi tumia felixjuhud@yahoo.com au +255 (0) 756 601 054
Wednesday, August 1, 2012
HUU NDO MJI WA SOMALIA UMEHARIBIWA VIBAYA NA VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE SASA WAANZA KUJENGWA
Huu ni mji wa Mkuu wa Somalia ambao kwa miaka kadhaa ulikuwa ukishikiliwa na kikundi cha A-al shababu sasa umekombolewa umerudishwa katika mikono mwa serikali ya mpito na umeanza kujengwa upya.
No comments:
Post a Comment