Hii kweli ni haki kwa walaji wa bidhaa zinazouzwa sokono hapo?Hili ni soko la Kayanga ambapo ni makao makuu ya wilaya ya Karagwe lilihamishiwa hapa mwaka 2009 kwa madai eti ni kupisha ujenzi wa soko la kisasa walipokuwa awali mpaka sasa ni kitendawili sasa bidhaa tena za vyakula kama inapangwa chini mimi na wewe tujiulize mamlaka zipo?Na je madhara yake hawayajui au ndo kufanya kazui kwa mazoea?Na waachia wasomaji na waungwana wote maswali hayo mimi sina majibu.

No comments:
Post a Comment