Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Waziri
wa Biashara, Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui,(katikati) na Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo Juliun Raphael,alipowasili katika Viwanja vya
Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,kuufungua Mkutano wa Saba (7) wa
Baraza la Biashara la Zanzibar ZBC,uliofanyika leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifungua Mkutano wa Saba (7) wa Baraza la Biashara la Zanzibar
ZBC,uliofanyika leo katika Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini
Unguja,(kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu
Kiongozi Dk.Abduhamid Yahaya Mzee,na Waziri wa Biashara, Viwanda na
Masoko,Nassor Ahmed Mazrui.

No comments:
Post a Comment