Saturday, December 26, 2015
SIMBA YALAZIMISHWA SALE NA MWADUI FC NA KUPUNGUZA MANENO YA JULIO.
Mchezaji wa zamani wa AZAM FC Brain Majwega ameiokoa Timu yake kwa kuisawazishia goli hilo katika dakika za lala salama katika mchezo wao uliofanyika uwanja wa CCM Shinyanga.
Mwadui FC inayofundishwa na kocha mwenye maneno mengi Julio ndiyo ilikuwa ya kwanza kupata bao katika kipindi cha pili cha mchezo huo mfungaji akiwa ni Nizar Khalfani aliyemalizia mpira wa Kona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment