HAAA ARSERNAL TIMU BWANA IMEWAFANYIA KITU MBAYA WATU JANA IMEWAPIGA 4-0
Jana kulikuwepo matokeo ya kushangaza katika ligi kuu England mashabiki wa Arsenal walikuwa na matumaini kuwa wangeliongoza ligi baada ya kinara LEICESTER CITY kufungwa goli moja bila na Liverpool lakini kilichowakuta ndo hicho
No comments:
Post a Comment