Thursday, December 24, 2015

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO AONGEA NA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO.

 
Waziri  wa  Nishati  na  Madini  Profesa  Sospeter   Muhongo  leo  desemba  24  ameongea   na  wachimbaji   wadogo  wadogo   wa  madini wa  Mkoa  wa Mara  kwenye  Ukumbi  wa  uwekezaji   uliopo  Manispaa  ya  Musoma  mkoani  Mara.





Pia  Mkutano  huo  ulihudhuriwa  na  viongozi  wa serikali  wakiwemo  na  wakurugenzi  watendaji   wa  wilaya  zinazopatikana  mkoani  Mara.

No comments:

Post a Comment