Jeneza
la Polisi Petro
Simon aliyepigwa risasi
na askari mwenzie, likiwa eneo la
polisi Mabatini Mwanza
wakati wa ibada
ya kuaga mwili
wa Marehemu.
Askari
wawili wa jeshi
la polisi jijini
Mwanza wamefariki dunia
baada ya mmoja
kumuua kwa kumpiga risasi
mwenzake kabla na
yeye kujimaliza kwa
kujipiga risasi tukio
hilo lilitokea jana
alasiri eneo la
benki ya Posta barabara
ya Pamba jijini
Mwanza.
Waombolezaji
wakitoa heshima zao
za mwisho.
Kamanda
wa Polisi mkoa
wa Mwanza Justus
Kamugisha alithibitisha kutokea
kwa tukio hilo
na kusema tayari
jeshi hilo limeanza
uchunguzi kubaini chanzo
cha mauaji hayo.


No comments:
Post a Comment