Kamati
ya Ardhi Halmashauri
ya mji wa
Handeni imekamata Ng;ombe
900 katika mtaa wa
Msaje Mbamba kata Kwamagome ambazo zimeingizwa
bila kufuata utaratibu
huku wahuku wahusika
wakikimbia.
Mwenyekiti wa kamati hiyo ya ardhi Husseni Omari Hatibu amesema wameamua kufanya ufuatiliaji wa mifugo iliyopo katika wilaya Handeni ili kujipanga kwa ajili ya kuweka utaratibu mzuri wa matumizi bora ya ardhi na ndipo walibaini kuwepo makundi hayo ya Ng’ombe yakiwa yametelekezwa.
No comments:
Post a Comment